Pumzi Ya Mwisho
Erkam Publications
1.0 10.4mb

Kuvuta pumzi ya mwisho ni jambo lisilokwepeka kwetu wanadamu. Swali muhimu kulitengezea majibu kwa wakati huu ni jinsi gani utaivuta? Kwa kila pumzi maisha yetu yanarefuka, lakini siku moja suala hili litasimama. Ustadh Othman Nuri Topbas ametupatia ukumbusho adhimu wa namna ya kujindaa na umauti.

Content rating: Rated 4+

Requires OS: 3.2

Supported Devices:
- iPad

...more ...less