Wacha Biblia Iseme
Mahmoud Al-Asmi
0.0.1 3.3mb

Kuzozana sio makusudio ya kuandika Risala hii. Makusudio ya hakika ni kutaka kuwapa mwangaza Wakristo na Waislamu ambao katika sehemu nyingi za ulimwengu inawapasa waishi kama ni wananchi wamoja na jirani. Inatumainiwa pindi wakinawirika, na kila mmoja akaifahamu vyema misingi ya imani ya mwenziwe, wote watakuja thamini ule msingi mmoja unaowaunga wote kwenye Imani ya asli, nayo ndiyo Dini ya Ulimwengu mzima inayofunza kila mwanaadamu ajisalimu kwa ukamilifu wake kwenye mapenzi ya Mwenyezi Mungu Mmoja wa kweli, kwani hapo ndipo unapotegemea mwendo mwema wa binaadamu.

Content rating: Everyone

Requires OS: 2.3.3 and up

...more ...less