Rasimu II ya Katiba
Rightclick Apps Tanzania
1.01 Varies with device
Rasimu II ya katiba mpya ya Tanzania inakupatia toleo la mwisho la rasimu ya katiba ya tanzania inayotegemea kutengenezwa mwakani. inakupatia experience ile ile ya katiba ya Tanzania na rasimu ya kwanza, Soma rasimu kwa sura au kwa ibara, share na ndugu zako au watanzaniia wenzako katika mitandao ya kijamii ibara za rasimu, share kwa ujumbe mfupi wa sms hata kwa watanzania wasiokua na smartphones au wale wa vijijini kuhusu ibara flani ambayo unadhani wana haja ya kuijua either kuipinga ili kuomba marekebisho au kuipongeza. Na mengi mengineyo

Content rating: UnratedWarning – content has not yet been rated. Unrated apps may potentially contain content appropriate for mature audiences only.

Requires OS: 2.2 and up

...more ...less