Katiba Teule Ya Tanzania
TayaLabs
1.165 Varies with device
Draft ya mwisho ya katiba iliyopitishwa na Rais kama katiba pendekezi. Hii ni katiba inayotarajiwa kuwa mbadala wa katiba ya sasa ya Tanzania (https://play.google.com/store/apps/details?id=tz.co.yetu.katiba.katiba&hl=en). Imesheheni tools mbalimbali kama search, kumbukumbu,toa ibara ulizokwisha soma au usizotaka kusoma tena , kubadilisha ukubwa wa maandishi, kubadiliha lugha (english/swahili) na kadhalika. Yote haya katika njia nzuri kwako wewe kutumia app hii. Pia ipo compatible na tablets au screen yoyote kubwa/ tv.
Kukuwezesha kusoma katiba hii unaombwa kuchangia angalau Tsh 5000 na kuendelea.

Content rating: Everyone

Requires OS: 4.0 and up

...more ...less